Waziri mkuu wa Singapore kuachia madaraka kutokana na ugonjwa
Badaye alizungumzia tukio hilo na kumshukru kila mtu kwa kumsubiri
Waziri Mkuu wa Singapore,Lee Hsien Loong, amesema kuwa mrithi wake awe tayari kuchukua madaraka baada ya uchaguzi Mkuu ujao.
Ameyasema hayo kwa njia ya Televisheni muda mfupi baada ya kuvunjwa kwa siku ya kitaifa ya kusanyiko lililosimamishwa kwa muda.
Badaye
alizungumzia tukio hilo na kumshukru kila mtu kwa kumsubiri ili aendelee
na hotuba yake, na kuongeza kuwa anafahamu kuwa kila mtu aliogopa kile
kitakachotokea.
Ofisi yake imesema Bwana Lee anasumbuliwa na magonjwa ya moyo na upungufu wa maji baada ya kusimama kwa muda mrefu.
No comments: