PICHA 10: Imetolewa list ya miji 10 Duniani ambayo ni bora zaidi kwa kuishi
Najua mtu wangu wa nguvu unatamani kujua ni miji gani ni bora na inafaa zaidi kushi na pia ni ipi isyofaa, Economist Intelligence Unit wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani ambayo ni bora na inafaa zaidi kushi kwa 2016.
Ripoti ya
utafiti huu imetolewa August 18 2016 ambapo utafiti ulizingatia mambo 30
ambayo yanayohusisha usalama, huduma za afya, rasilimali za elimu na
miundombinu. Ripoti imeonyesha kwa mwaka wa sita mfululizo, mji kutoka
Australia umeongoza kwenye miji bora zaidi kwa kuishi Duniani.
Aidha ripoti hiyo imeonyesha mji wa Lagos, Nigeria umekuwa nafasi ya tatu Duniani ya miji mibaya kwa kuishi.
10. Hamburg, Germany9. Helsinki, Finland
8. Auckland, New Zealand
7. Perth, Australia
=5. Adelaide, Australia
=5. Calgary, Canada
4. Toronto, Canada
3. Vancouver, Canada
2. Vienna, Austria
1. Melbourne, Australia
No comments: