TANZIA: Mfahamu vizuri malkia wa Taarab Bi Shakila aliyefariki Aug 19…
Shakila Said Hamis…
Jina lake lina uzito mkubwa sana kwenye muziki wa Taarab anafahamika
kama miongoni mwa wasanii waliotamba miaka kadhaa na hits single ikiwemo
Kifo cha mahaba, Mapenzi yamepungua na nyinginezo.
Mnamo Auguast 19, 216 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya
kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana na
taarifa ya kufariki kwa nguli huyo wa muziki wa Taarab, kaa karibu
millardayo.com & Ayo TV tunaendelea kufuatilia kuhusiana na taarifa
hizo.
No comments: